Katika press ya msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameeleza namna ambavyo bandari ya DP World ilivyotatua changamoto ya ajira kwa viajana wasomi wa kitanzania ambapo amesema bandari hiyo imezalisha zaidi ya ajira 764 za moja kwa moja na ajira zisizo za moja kwa moja nyingi zimezalishwa