Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke.
Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu wanaoeneza taarifa potoshi kuhusu ndege zinazotua Kilimanyaro na Loliondo.
Amesema ni kawaida kwa ndege hizo kutua na kushusha watalii maeneo hayo.
Soma: Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa