Yego mlaunu
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 234
- 269
Nami nimefuatilia comment zako humu,nimeona watu wengi kila wakitaka kukujibu,maneno kama "wewe mjinga" hayakosekani.Hiyo ni issue tofauti ya kuua tembo ili upate pembe za kuuza. Uzuri haya mambo yote yanaratibiwa na WWF na CITES ambavyo ni vyombo vya dunia vinavyo hifadhi endangered species.
Sisi wenyewe pale Banda Ngozi kwenye maghala ya Mali Asili tuna pembe za ndovu tulizozikamata kwa majangiri zaidi ya Tani 20 lakini tumekatazwa kuuza instead tunaambiwa tuzichome ili ku discourage biashara ya pembe za ndovu.
Ila kwa uandishi wako wa aina hii,na hoja za hivi, unakataaje kuwa wewe siye