Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Weka pichaAcha uongoo wanapelekwa na zote
meli na ndege so Kaa kwakutulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka pichaAcha uongoo wanapelekwa na zote
meli na ndege so Kaa kwakutulia
Cha ajabu badala ya kutoa evidence wataanza kumshambulia Msigwa
kule mbugani ile ndege ilikuwa inachimba dawa bhasi..!! ndege ya waarabu Ngorongoro inafanya nini ambako wamasai walifukuzwa??Leta picha ya ndovu akipandishwa kwenye ndege. Tusiansikie mate
Anataka tuweke ushahidi halafu tupigwe risasi?Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke.
Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu wanaoeneza taarifa potoshi kuhusu ndege zinazotua Kilimanyaro na Loliondo.
Amesema ni kawaida kwa ndege hizo kutua na kushusha watalii maeneo hayo.
Kiongozi unakifahamu kitu kinachoitwa ecosystem? Wanyama wakifia mbugani wanawafanya viumbe wengine waendelee kuishi,Mwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?
Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.
Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini
Kumbe ni Gerson Msigwa nilifikiri ni Peter Msigwa nilitaka kushangaa kumbe ni yule mdogo wake wa kijani kabisa yule sasa we mtu yuko kweny cheni ya ulaji wa kupewa ulitaka asemeje!?Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke.
Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu wanaoeneza taarifa potoshi kuhusu ndege zinazotua Kilimanyaro na Loliondo.
Amesema ni kawaida kwa ndege hizo kutua na kushusha watalii maeneo hayo.
Acha umbeya tuliaWeka picha
Umechanganya hao Msigwaz, hata hivyo wa kulaumiwa ni Mleta uzi na hiyo heading yake.Amewekwa mfukoni na Kinana baada ya kutishiwa kufungwa au kulipa bilion kadhaa
Wanzanzibar wenyewe hawa mpendi na waislam wenzakeBora wewe umeongea ukweli..
Chuki ya kidini Kwa Samia iko kubwa Sana....na ukiwaambia hiko kinacho wasumbua ni chuki ya dini watakushambulia kama wamemwagiwa pilipili
Wazanzibari wenzie hawa mpendi na hawa ata habari naye leo alikuwa kwao uko kazi kusomba wananchi na malori kuwapeleka kwenye mkutano wakeBora wewe umeongea ukweli..
Chuki ya kidini Kwa Samia iko kubwa Sana....na ukiwaambia hiko kinacho wasumbua ni chuki ya dini watakushambulia kama wamemwagiwa pilipili
You wishWanzanzibar wenyewe hawa mpendi na waislam wenzake
Ninyi serikali ndiyo mnao ushahidi na mnaelewa wazi kabisa kuwa mnaruhusu wanyama kuchukuliwa.Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke.
Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu wanaoeneza taarifa potoshi kuhusu ndege zinazotua Kilimanyaro na Loliondo.
Amesema ni kawaida kwa ndege hizo kutua na kushusha watalii maeneo hayo.
Unatumia kipimo gani kusema Wazanzibari wenzie hawampendi? Wengine kuleni makande tu, siyo lazima mchangie JFWazanzibari wenzie hawa mpendi na hawa ata habari naye leo alikuwa kwao uko kazi kusomba wananchi na malori kuwapeleka kwenye mkutano wake
Watz wengi ni wajinga kuliko hata huyo unayemuita mjinga..Wakati mwingine ficha ujinga wako kwa kukaa kimya
Issue sio kumuamini au kutomuamini, wewe unao ushahidi wa ndege inayobeba wanyama au unafuata tu mkumbo wa mitandaoni ??Sa Msigwa mlamba asali kutetea kila kitu cha serikalu utamuamini kweli?!
Watz wangapi wanaenda kufanya utalii wa ndani ?Huna akili wanyama wakichukuliwa hatima yake ni nini ? Watalii hawatakuja wataishia huko