Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Forget about that!! Hiyo kitu nimeiona Sharjah ila mnaiogopa bila kujua inafananaje. Mbona zoo zipo Europe na America yote lakini still wazungu wanakuja mpaka kwetu kuwaona wanyama!!Dubai wanatengeneza Safari park lengo lao wakamate watalii wote ....ukienda Dubai iwe one stop centre ya aina zote za utalii.....wakifanikisha hili mtalii gani atakuja kumwona Simba Tanzania wakati akienda Dubai kuna safari park!
Mnyama kwenye natural habitat ni tofauti na mnyama wa zoo. Hata wangefanya nini hawawezi kutupiku sisi wenye mazingira halisi.
At most labda watatufanyia promotion kuwa wanyama walitoka Tanzania