Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

Mwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?

Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.

Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini
Miandiko ya namna hii ina walakini!?
 
Umeandika madini sana, ila wenye chuki na Roho mbaya hawataelewa,

Well done mkuu
Big up
Wanaambiwa leteni ushahidi wanaanza kuimba taarab😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani ikifika Mchana mtu hoi

Yaani unafika kula lanchi yako sehemu unaanza kumtukana mleta maji ya kunawa....'Nimekuomba maji wewe kmmkko" Sutupidi wee!

Yote, kwa sababu ya mitusi JamiiForums na njaa kwa sababu umekaa kiyoyezini kusoma "Unigambire Sutupidi" kila posti wakati wenzako wanapata sambusa na kababu asubuhi.

Amani Iwafikie Asubuhi Njema
 
Bora wewe umeongea ukweli..
Chuki ya kidini Kwa Samia iko kubwa Sana....na ukiwaambia hiko kinacho wasumbua ni chuki ya dini watakushambulia kama wamemwagiwa pilipili
Kwasababu leo umebahatika kukutana na mjinga mwenzio ukitembea barabarani, ndio unalazimisha kila mmoja afikirie kama nyie, narudia tena kukwambia, usitumie ujinga uliopo kichwani kwako kuhukumu wengine..

Yeye Msigwa kama anasema hiyo ndege ilishusha watalii kwanini asituoneshe huo ushahidi wake? kwanini hiyo ndege ifanye mambo yake kwa siri? wanaficha nini?

Kwako Msigwa kusema tu ndege ilishusha watalii ndio umeridhika, tena bila hata kuwaona hao watalii wenyewe, au vielelezo vyovyote, una mahaba ya kijinga sana yanayochochewa na dini.

Tuna wasiwasi kwasababu safari ya kwa mjomba iliyofanywa Uarabuni karibuni ndio imezaa haya yote, ndipo wamasai wakaanza kusumbuliwa, na hapa hakuna udini, ni fact, wacha kufikiria kama mjinga.
 
Narudia tena kukwambia, usitumie ujinga uliopo kichwani kwako kuhukumu wengine..

Yeye Msigwa kama anasema hiyo ndege ilishusha watalii kwanini asituoneshe huo ushahidi wake? kwanini hiyo ndege ifanye mambo yake kwa siri? wanaficha nini?

Kwako Msigwa kusema tu ndege ilishusha watalii ndio umeridhika, tena bila hata kuwaona hao watalii wenyewe, una mahaba ya kijinga sana yanayochochewa na dini.

Tuna wasiwasi kwasababu safari ya kwa mjomba iliyofanywa Uarabuni karibuni ndio imezaa haya yote, ndipo wamasai wakaanza kusumbuliwa, na hapa hakuna udini, ni fact, wacha kufikiria kama mjinga.
Wewe ndo uliyedai imepakia wanyama kwa hiyo wewe ndo unayetakiwa kuleta ushahidi sio msigwa. Hizo stress zenu na chuki zenu zitawaua kuna shida gani kuleta huo ushahidi wa hao wanyama kupakiwa kwenye ndege?
 
Nimesoma kuanzia page ya 1 mpaka ya 3 naona matusi tu na nadharia za kutunga. Kuna shida gani kuweka huo ushahidi wa wanyama kupakiwa kwenye ndege tena hapa Tanzania?

Kweli ujinga na chuki ni vipaji vya mtu mweusi
 
Baada ya jiwe ni kama uandishi wa habari za kiuchunguzi ulizikwa. Inahitajika akili za ziada kuelewa hili.
Wewe ndo uliyedai imepakia wanyama kwa hiyo wewe ndo unayetakiwa kuleta ushahidi sio msigwa. Hizo stress zenu na chuki zenu zitawaua kuna shida gani kuleta huo ushahidi wa hao wanyama kupakiwa kwenye ndege?
 
Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke.

Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu wanaoeneza taarifa potoshi kuhusu ndege zinazotua Kilimanyaro na Loliondo.

Amesema ni kawaida kwa ndege hizo kutua na kushusha watalii maeneo hayo.

Kuna mambo mengine msigwa ni kilaza wa miti ya Iringa. Kwa dunia hii anaona kila mtu zwazwa
 
"Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye."

Hiyo hela hutokaa uione Bora tupige kelele tu
 
Umeandika madini sana, ila wenye chuki na
Roho mbaya hawataelewa,
Well done mkuu
Big up
Wanaambiwa leteni ushahidi wanaanza kuimba taarab😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Wote wananiita MJINGA. Nami nawaambia MJINGA hufundishika, basi nifundisheni nione madhara ya kuuza wanyama, hawarudi!!

Hata kwenye elimu ya Form I kwenye Biology tunajifunza vitu vinaitwa ecosystem, cannibalism etc. Ambavyo vinahusu ku-maintain reasonable population ya wanyama msituni. Sasa ubaya wa kuuza wanyama uko wapi?

Pili hawa Waarabu wamekodisha hunting blocks huko Loliondo toka miaka ya 1990s. Je hawana haki ya kuwinda ethically? Mbona wanalipa Kodi na CSR kwa Halmashauri ya Ngorongoro kadri ya mkataba!!

Tatizo la Wanaharakati wa Tanzania kila wakati ni kuwa na agenda kinyume na Serikali
 
Back
Top Bottom