Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wakati mwingine ficha ujinga wako kwa kukaa kimyaMwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?
Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.
Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini
Ujinga wako ndio mtaji wa kuishi na mkeo!Mwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?
Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.
Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini
Mwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?
Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.
Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini
Wewe una laana ya Magufuli ,kaa hivyohivyo na ujinga wakoMwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?
Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.
Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini
Eee bhana eeh asije aibika baadae. Kuna clip japo ya zamani kigogo na 2 CCM na waarabu na midege mikubwa ya mizogo huko Loliondo.Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke.
Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu wanaoeneza taarifa potoshi kuhusu ndege zinazotua Kilimanyaro na Loliondo.
Amesema ni kawaida kwa ndege hizo kutua na kushusha watalii maeneo hayo.
Huyu ni makapi ya mwenda zake, kwenye utawala wa Mh Rais Samia amebaki Msigwa, Nape, na Majaaliwa. Wanadhani bado tuko kwenye enzi za kuweka watu barabarani wakupe jogoo ili uonekane una pendwa. Hii ni awamu tofauti sana.Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke.
Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu wanaoeneza taarifa potoshi kuhusu ndege zinazotua Kilimanyaro na Loliondo.
Amesema ni kawaida kwa ndege hizo kutua na kushusha watalii maeneo hayo.
Mjinga hufundishwa Ila mpumbavu hafundishiki. Nakusihi jibu hoja yangu kuliko kuni ambia nikae kimya. Na hivi ndivyo Great Thinkers walivyoWakati mwingine ficha ujinga wako kwa kukaa kimya
Kuwa mjinga siyo dhambi. Naomba ujibu hoja yangu wala usinikatishe kwa kejeli. Otherwise na wewe umekariri tu kuwa tunaibiwa wanyamaUjinga wako ndio mtaji wa kuishi na mkeo!
Mimi ni Mtanganyika na nimezaliwa kabla ya uhuru. Just thinking aloudNyie watu wa Zanzibar tunajua hamna uchungu na tanganyika
Mnakuja kychuma na kwenda kuficha pesa Oman
Lile dege kubwa la mizigo lilileta Nini vile?Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke.
Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu wanaoeneza taarifa potoshi kuhusu ndege zinazotua Kilimanyaro na Loliondo.
Amesema ni kawaida kwa ndege hizo kutua na kushusha watalii maeneo hayo.
Amewekwa mfukoni na kinana baada ya kutishiwa kufungwa au kulipa bilion kadhaa
Kadi yako ya Uvccm una-renew lini?Mwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?
Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.
Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini
Magufuli kama shetani laana yake ilimrrudia mwenyewe akafa 17/03/21Wewe una laana ya Magufuli ,kaa hivyohivyo na ujinga wako
Njoo na hoja tu unijibu, insults serve no purpose. Mimi ni retired officer, I mean 60+. Nimefikiri outside the boxKadi yaki ya Uvccm una-renew lini?
Sa Msigwa mlamba asali kutetea kila kitu cha serikalu utamuamini kweli?!Cha ajabu badala ya kutoa evidence wataanza kumshambulia Msigwa