Pre GE2025 Msigwa hana haja ya kuzunguka nchi nzima. Hana huo ushawishi na watanzania wengi hawamjui labda huko kwao Iringa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi unamjuaje mwanaume mwenzako? Msaada please.
 
Msigwa anajulikana sana tu alikuwa active sana bungeni na amezunguka na CHADEMA nchi nzima acha ujinga dogo

USSR
 
Kweli. Msigwa bila chadema ni level ya Stive Nyerere tu. Ccm yenyewe bila wizi wa kura hata TLP inaweza kuiangusha. Yaani ccm wameishiwa marifa wanafikiri mchawi wao ni upizani, kumbe mchawi wao ni matendo yao wenyewe.
 
Msigwa ap
Msigwa apewe KAZI nyingine Tu kama ukurugenzi wa makampuni ya serekali, asihangaike na siasa za majukwaani CCM bado nawakubali Sana kwa sasa
 
Hata Mbowe hana ushawishi wowote kwa Sasa, Bila Chopa kuzunguka mjini huwa hapati watu. Na watu huwa almost wanaenda kushangaa Ndege nimeijua hii mikoa zaidi ya Mitatu
Unaelewa maana ya ushawishi. Mbowe hajaanza siasa Leo. Ungekuwepo kwenye kampeni za urais 2005 ndio ungejua Kama ana ushawishi ama la.
 
Msigwa anajulikana sana tu alikuwa active sana bungeni na amezunguka na CHADEMA nchi nzima acha ujinga dogo

USSR
Anajulikana kwa wafuatiliaji wa siasa. Kwa mfano watanzania wasiofatilia mambo ya nchi ukiwauliza Waziri wa Utawala Bora ni nani utashangaa hawamfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…