Pre GE2025 Msigwa hana haja ya kuzunguka nchi nzima. Hana huo ushawishi na watanzania wengi hawamjui labda huko kwao Iringa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu umenena point sana ukiamka asubuhi nenda hiyo bar ya pombe mwitu hapo jirani mwambie huyo mama akupe supu ya Pu mbu na chapati sita ntakuja kulipa.
 
Lowassa alidhoofisha ccm? 😂

Anyway, hata hao wanaofatilia siasa kuna ambao hawamjui
 
Lowasa aliidhoofisha CCM hiyo wala sio Siri

Ni kweli sio rahisi kumjua Msigwa mpaka uwe mfuatiliaji sana wa Siasa za Bongo
Ndo mara ya kwanza leo najua kuwa Lowassa alidhoofisha ccm baada ya kuondoka, ila tujiulize Lowassa alikuwa ana cheo gn pale ccm mpaka adhoofishe chama?
 
UCKU MWEMA
 
Sikuwahi kumwona Msigwa kama mtu mkweli na imedhihirika hivyo.
 
Msigwa uumarufu wake ni sababu ya kuwa chadema otherwise hana ushawishi waina yeyote Tanzania,
 
NEC ya CCM ni chombo kikubwa sana katika siasa za nchi hii, nilishangaa sana tena sana kuona wajumbe wote wa NEC hadi Mwenyekiti wao wakiimba kuwa na Imani na Msigwa mtu ambaye wiki iliyopita tu akiwa Singida alikuwa akiwapaka kinyesi. Nimewadharau sana.
 
Siasa bwana.Miaka 20 tunahubiriwa uongo.KUMBE NA YEYE ALIKUWA MWONGO LEO KABADILIKA[emoji1][emoji1].Unajua wanasiasa wanatuonaga ss wananchi hatuna akili.Tunajua uongo na ukweli tuachweee tuna akili zetu.Kwa hyo uongo wa Chadema,Ccm hawakuuona siku zote hzo??? yye ndo akaueleze.HATARI
 

Kwenye siasa maslahi binafsi ndio kipaombele
 
Kwa wanasiasa wenzake na wafuatiliaji wa siasa.

Lakini wananchi wengi hawamjui nakuambia

Ni sawa useme Mpina ni maarufu kisa anaongea ongea bungeni. Maarufu kwa wanasiasa na wanaofuatilia siasa lakini huku mtaani mambo ni tofauti
Ni kama chedema inajulikana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…