Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Naomba unijibu kama mtu ambae anatumia common sense. Sio akili za kulinda kitumbua na ugali kama Maliyamungu wa Iddi Amini.
Rais Samia katamka hadharani kuwa baada ya vijana kuimba kuwa wataka kama ya Madagascar watu waliuliwa.
Uhalifu ulifanyika Je, ulihataji kuzuiwa kwa mtutu wa bunduki?
Hao waliouwawa majumbani kwao?
Yule mwandishi mwenzako wa Clouds aliyeuwawa?
Yule binti ambaye ndugu zake wameaga picha yake badala ya maiti?
Ungejibu nini kubalance habari? Kuwa hakuna mauji yaliyofanyika?