Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna na Upendo Peneza pia
Manara msemaji wa Yanga deep down ni SIMBA 100% Kaenda Yanga kwa sababu ya njaa tu
Msigwa si mwana CCM kwa hali iwayo yote.. Njaa iliyokimbilia kichwani ndio iliyompeleka CCM
Mapenzi ya kitu huja na kupoteana lakini sio mahaba.. Wapenzi waachanao na kurudiana kila wakati hawa wana mahaba ya dhati kati hao!
Ukiona mtu kapata mpenzi mpya lakini 24/7 ni kumzungumzia eksi wake.. Tambua wazi bado ana mahaba ya dhati naye, ila ni hasira tu kulingana na mazingira ya kuachwa.
Natambua kuna taharuki ya kuachwa lakini isiwe ya muda mrefu ni lazima ku move on! Ukibaki na kumbukumbu zile zile.. Tambua deep down your heart umekosa mbadala wake na huko uliko kuna ombwe kubwa lisilozibika! Na ndipo hapo cd hukwamwa na kujirudiarudia kutokana na scratch za mahaba ya dhati
Manara alishatoka SIMBA lakini mpaka wa kesho ameshindwa kabisa ku move on! Nje ya content za kuinanga SIMBA hana jipya Yanga
Msigwa na Peneza wameshaondoka CHADEMA lakini nje ya content za kuinanga CHADEMA hawana mapya ya kukijenga CCM!
Wape kipaza sauti kwa dakika 30 uone kitakachotokea.. Dakika 22 zitakuwa kuitaja CHADEMA na mwenyekiti wake na dakika 8 zitakuwa za kumsifu mama.. Kishapo dakika 0 zitakuwa na kuelezea mambo positive watakayofanya kukistawisha chama chao kipya!
Hakuna kitu kibaya kama njaa ikihamia kichwani lazima cd is scratch mpaka hadhira iangue kicheko