Msigwa kama Manara tuu.. CD zao zimestuck penye scratch

Hakuna kitu kibaya kama njaa ikihamia kichwani lazima cd is scratch mpaka hadhira iangue kicheko🤣🤣🤣
 
Bado ni mulemule cd imescratch
Kwani anayeitisha makamanda kukomaa anasema je?
Ndio nani huyo
Hakuna kitu kibaya kama njaa ikihamia kichwani lazima cd is scratch mpaka hadhira iangue kicheko🤣🤣🤣
 
Msigwa ana uhuru na haki kama Watanzania wengine, anahaki yakujiunga na chama chochote cha siasa na kuzungumza chochote ilimradi asivunje Sheria.
 
Sio dhambi kwa Msigwa kujiunga CCM kama pia ilivyokuwa sio dhambi kwa El na wengine kujiunga CDM kutokea CCM.

Kama Msigwa ameona CDM hakumfai na sio sehemu yake basi ana haki pia yakwenda pahala pengine na kuhubiri anachoamini.
 
Ni kweli bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…