Msigwa: Kamati ya Amani ni kikundi cha wasaka tonge, wanastahili kupuuzwa

Msigwa: Kamati ya Amani ni kikundi cha wasaka tonge, wanastahili kupuuzwa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
6:27 AM Juni 15, 2021, aliyekuwa Mbunge wa Iringa, Peter Msigwa ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter:

"Hii sio kamati ya Amani, ni kikundi cha watu wasaka tonge. Wanotumia Neno la Mungu kuilinda serikali ya CCM ibaki madarakani. Wanastahili kupuuzwa na jamii ya Watanzania. Ni sawa na wapuuzi wengine tu."

========


Msigwa.PNG

"
 
Mm mwenyewe hawa watu huwa siwakubali kabisa, wakati wa mh magufuli mambo yaliyofanyika yalikuwa ya hovyo, wakati watu wanauawa walikuwa wapi, wakati watu wanatekwa walikuwa wapi?

Wakati uchaguzi mkuu unabakwa walikuwa wapi? Hawajui kuwa amani inapatikana haki inapotendeka? Kama hamna haki wajue kuwa hamna amani!!! Wao wanaangalia masilahi yap, mimi naungana na msigwa, tuwapuuze tu.
 
Mm mwenyewe hawa watu huwa siwakubali kabisa, wakati wa mh magufuli mambo yaliyofanyika yalikuwa ya hovyo, wakati watu wanauawa walikuwa wapi, wakati watu wanatekwa walikuwa wapi? Wakati uchaguzi mkuu unabakwa walikuwa wapi? Hawajui kuwa amani inapatikana haki inapotendeka? Kama hamna haki wajue kuwa hamna amani!!! Wao wanaangalia masilahi yap, mimi naungana na msigwa, tuwapuuze tu.
Hao ni wasaka fursa tupu hakuna kamati hapo.
 
Inabidi hawa viongozi wa dini (kamati ya amani) wajitafakari, inaonekana wamekosa ushawishi!! Nina Mashaka na Mungu wanaomtaja
 
Msigwa sishangai kuwatukana hawa viongozi maana kwao CHADEMA kiongozi wa dini lazima awaunge mkono wao. Na kila siku wanatetea uhuru kwa watu kuamua wanachokiamini. CHADEMA imekuwa ikiwaita wengine ni Madikteta huku wao wanataka kila mtu awe na msimamo kama wao lakini kwa upande wa MBOWE wako kimya.

Mr Msigwa kumbuka kuwa wewe ni miongoni mwa viongozi wanaopaswa kuheshimu viongozi wa dini na wengine kwenye jamii, Lakini unajitwika ujuaji usio na msingi kwa kuona mapungufu ya wenzako zaidi.

Napenda kuwakumbusha kuwa wewe na chama chako mnasafari ndefu sana ya kuwaaminisha watu kuwa lengo lenu ni kutetea haki au ni masrahi yenu binafsi yanawatawala huku mkijivika gozi ya kondoo ya uzalendo uchwara.
 
Hiki ndo Chama kikuu cha upinzani,na hawa ndo viongozi waandamizi wa Chama,tuna safari ndefu sana kufika nchi ya ahadi,hawa jamaa kama ndo tunawategemea kuja kuindoa CCM tusahau kwa sasa labda vizazi vya 2100.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Ndio unajisikiaje.

mwenyekiti wao wa kamati ya amani anavosema kumwita magufuli mwendazake tunakosea akati kamusi yakiswahili inatulinda watumiaji neno mwendazake. Kweli wapumbavu
 
Mm mwenyewe hawa watu huwa siwakubali kabisa, wakati wa mh magufuli mambo yaliyofanyika yalikuwa ya hovyo, wakati watu wanauawa walikuwa wapi, wakati watu wanatekwa walikuwa wapi???? Wakati uchaguzi mkuu unabakwa walikuwa wapi??? Hawajui kuwa amani inapatikana haki inapotendeka???? Kama hamna haki wajue kuwa hamna amani!!! Wao wanaangalia masilahi yap, mimi naungana na msigwa, tuwapuuze tu
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji817]
 
Back
Top Bottom