Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Hiki ndo Chama kikuu cha upinzani,na hawa ndo viongozi waandamizi wa Chama,tuna safari ndefu sana kufika nchi ya ahadi,hawa jamaa kama ndo tunawategemea kuja kuindoa CCM tusahau kwa sasa labda vizazi vya 2100.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Imagine sasa watu kama wewe ndo wapiga kura..what do you expect? Tuna safari ndefu kama taifa! wananchi hawajitambui na wala hawana habari. Tumekuwa wanasiasa na mashabiki uchwara kuliko hata wanasiasa walaghai kama akina Pole pole na Kigwangalla!
Go figure!