Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Mpuuzi tu na weweNikimjibu Mch. Msigwa nitakuwa nimeidhulumu nafsi yangu.
Hao ni wasaka fursa tupu hakuna kamati hapo.Mm mwenyewe hawa watu huwa siwakubali kabisa, wakati wa mh magufuli mambo yaliyofanyika yalikuwa ya hovyo, wakati watu wanauawa walikuwa wapi, wakati watu wanatekwa walikuwa wapi? Wakati uchaguzi mkuu unabakwa walikuwa wapi? Hawajui kuwa amani inapatikana haki inapotendeka? Kama hamna haki wajue kuwa hamna amani!!! Wao wanaangalia masilahi yap, mimi naungana na msigwa, tuwapuuze tu.
Msigwa sishangai kuwatukana hawa viongozi maana kwao CHADEMA kiongozi wa dini lazima awaunge mkono wao. Na kila siku wanatetea uhuru kwa watu kuamua wanachokiamini. CHADEMA imekuwa ikiwaita wengine ni Madikteta huku wao wanataka kila mtu awe na msimamo kama wao lakini kwa upande wa MBOWE wako kimya.
Ndio unajisikiaje.Hiki ndo Chama kikuu cha upinzani,na hawa ndo viongozi waandamizi wa Chama,tuna safari ndefu sana kufika nchi ya ahadi,hawa jamaa kama ndo tunawategemea kuja kuindoa CCM tusahau kwa sasa labda vizazi vya 2100.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Ndo maana nimesema tunasafari ndefu sana!Ndio unajisikiaje
mwenyekiti wao wa kamati ya amani anavosema kumwita magufuli mwendazake tunakosea akati kamusi yakiswahili inatulinda watumiaji neno mwendazake ....kweli wapumbavu
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji817]Mm mwenyewe hawa watu huwa siwakubali kabisa, wakati wa mh magufuli mambo yaliyofanyika yalikuwa ya hovyo, wakati watu wanauawa walikuwa wapi, wakati watu wanatekwa walikuwa wapi???? Wakati uchaguzi mkuu unabakwa walikuwa wapi??? Hawajui kuwa amani inapatikana haki inapotendeka???? Kama hamna haki wajue kuwa hamna amani!!! Wao wanaangalia masilahi yap, mimi naungana na msigwa, tuwapuuze tu