Msigwa: Kamati ya Amani ni kikundi cha wasaka tonge, wanastahili kupuuzwa


Imagine sasa watu kama wewe ndo wapiga kura..what do you expect? Tuna safari ndefu kama taifa! wananchi hawajitambui na wala hawana habari. Tumekuwa wanasiasa na mashabiki uchwara kuliko hata wanasiasa walaghai kama akina Pole pole na Kigwangalla!

Go figure!
 
Ni kikundi cha wasakatonge,wanafiki na wahuni wa kiwango cha SGR.Kuna Askofu mmoja akiitwa Konk anatupangia cha kusema eti hakuna kumwita Jiwe Mwendazake sijui alitaka tumwite Hamnazo.
 
Kuna Mch mmoja kipindi cha kampeni alishona suti ya Kijani akawa mkutanoni.
 

 
Bora ingejiita kamati ya mafarisayo ingesound better! Mafarisayo Wana tabia ya kukiosha kikombe kwa nje na kuacha uchafu mwingi ndani!
 

Dar es Salaam. Kitendo cha Rais mstaafu Benjamin Mkapa kutumia neno wapumbavu kimeiibua Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ambayo imekilaani ikisema ni kejeli.

Wiki hii kwenye mkutano wa hadhara mjini Chato mkoani Geita, Mkapa akizungumza na wananchi alisema, “Kulingana na takwimu za Wizara ya Afya kuhusu maendeleo yaliyofikiwa ni wazi kwamba watu hao ni wapumbavu.”

Alisema hayo baada ya Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’ kusimama awali na kueleza kuwa maendeleo yanayofanywa na Taasisi ya Benjamin Mkapa yanamkumbusha kauli ambayo Rais huyo wa Awamu ya Tatu aliwahi kuitoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 alipowaita watu wanaopinga maendeleo kuwa ni wapumbavu.
 
Bora tunamarais wengi ni muda wa MSIGWA KUUNGANA NA MATAKATIFU EZEKIELI KUFANYA KAZI MORTUARY ILI kuidentify nani awe MIFUPA MIKAVU NA YUPI WA KUZIKWA TU - MCHAGA NA DINI HAKOSEI

ha ha ha ha haaaaa. we jamaa wewe
 
Inabidi hawa viongozi wa dini (kamati ya amani) wajitafakari, inaonekana wamekosa ushawishi!! Nina Mashaka na Mungu wanaomtaja
Fikiria Magufuli alipeleka Jeshi Lindi na Mtwara kwenda kunyang'anya korosho za wanyonge ila hawa viongozi wa dini wooote walikaa kimya!
 
Genge la wahuni wanaotumia jina la Mungu:
1. Malasusa
2.Sheikh wa Dar aliyechambana na Mange
3.Pengo
4.Gwajiboy
5.Gamanywa
6. Mtokambali mzee wa kutoa tuzo kwa yesu wa Chato
7.Ikongo
8.mchungaji msigwa
 
Ni kweli kabisa viongozi wa dini waliokuwa wanamsujudu Magu walipendelewa sana kwa kodi za wananchi.

Askofu MALASUSA AKATAE HAYA;
1.Askofu mmoja kutibiwa nje(India)kwa fedha iliyolipwa na Magu kwa ushawishi na mgongo wa Malasusa.
2.Akatae kwenye baraza la MAASKOFU K.K.K.T amekuwa kinyume/msaliti na wenzake.

3.Akatae kama alimkabidhi ofisi ya Mkuu wa K.K.K.T kwa amani na upendo.
4.Akatae tuhuma nyingi kumhusu yeye na ushirikiano MAKONDA.
5.Akataye mbele za Mungu kama jina MSALITI halitumiki na baadhi ya waumini kutokana nakukengeuka.
6.Akatae Askofu Shoo hakusema "VIFUTU"sisi waumini wako tuliona ni miongoni kwa VIFUTU.
Mchg Msigwa kama amekukosea kukuita msaka tinge jitokeze ili tukuletee ushahidi.

USHAURI WANGU KWAKO;
Heshimu Baraza la Maaskofu K.K.K.T kwa vikao vyote na matamko mnayokubaliana kwani ndiyo jukwaa HALALI la K.K.K.T-KISHERIA

Achana kutoa matamko kupitia KAMATI YA AMANI DAR.Unajivunjia heshima kwani haipo KISHERIA

MIMI NIKIWA MUUMINI NAKWAZIKA SANA UNAVYOJISHUSHIA HESHIMA.
NAMUONA SHE PONDA ANAIPONYA NAFSI YANGU BILA KUJALI ITIKADI YA IMANI KWANI NI MKWELI.

JITOKEZE UTUOMBE MSAMAHA WAUMINI.
PIA KAWAOMBE MSAMAHA MAASKOFU WENZAKO uliyoyafanya ya usaliti kwa miaka 6
AMANI IWE KWAKO
 
Kwani hawa wahuni wametoka wapi?
nani aliwachagua kuongoza hii kamati?
terms of reference nini?
Kesi zote ziende mahakamni ndio kuna haki tuachane na hawa wahuni.
 
Kamati ya Amani ?

Mara nyingi hizi Kamati, Tume, n.k. ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi zipo pale kama miradi ya wanakamati, Tume n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…