Msigwa: Kamati ya Amani ni kikundi cha wasaka tonge, wanastahili kupuuzwa

Kwa hizi comments za wachangiaji sidhani haka ka kikundi katathubutu kukutana tena na kuutishia umma wa watanzania kuhusu ajenda za mwendazake !!
 
Kwa hizi comments za wachangiaji sidhani haka ka kikundi katathubutu kukutana tena na kuutishia umma wa watanzania kuhusu ajenda za mwendazake !!
Katakutana tu! Kikundi ni chawasaka tonge, kinatabia za kitoto kikisutwa, kuchapwa shida ni tonge tu.
 
Wasipokuwa makini watapoteza Dira ya chama wakiendelea kuhangaika na masuala ya dini....
 
Msigwa sishangai kuwatukana hawa viongozi maana kwao CHADEMA kiongozi wa dini lazima awaunge mkono wao. Na kila siku wanatetea uhuru kwa watu kuamua wanachokiamini. CHADEMA imekuwa ikiwaita wengine ni Madikteta huku wao wanataka kila mtu awe na msimamo kama wao lakini kwa upande wa MBOWE wako kimya . Mr Msigwa kumbuka kuwa wewe ni miongoni mwa viongozi wanaopaswa kuheshimu viongozi wa dini na wengine kwenye jamii, Lakini unajitwika ujuaji usio na msingi kwa kuona mapungufu ya wenzako zaidi, Napenda kuwakumbusha kuwa wewe na chama chako mnasafari ndefu sana ya kuwaaminisha watu kuwa lengo lenu ni utetea haki au ni masrahi yenu binafsi yanawatawala huku mkijivika gozi ya kondoo ya uzalendo uchwara.
Wewe ni mnafiki tu! Umejaa uchaga! Tunawajua sana huko KKKT agenda kuu ni uchaga kwanza.
 
Siku hizi atusikii tena wakiandaa makongamano labda sababu hayana bahasha siku hizi
 
Ukwel mchungun huu,haya mataga mkuje huku
 
Siku zote huwa nasema CHADEMA ni mambumbumbu wa siasa! Huu ni mwendelezo tu kama ule wa kupambana na Diamond wakiamini ndio wanapambana na ccm!

Ili chama chako kiweze kwenda ikulu ni lazima kiungwe mkono na vyombo vyote vya usalama, na pia kiungwe mkono na dini zote,

Chadema imeshawatukana viongozi karibu wote wa vyombo vya usalama, angali hapa tena wanatukana viongozi wa dini.

Bila shaka hawa chadema hakuna msomi hata mmoja mwenye kushauri mambo ya siasa kisomi. Wakipandwa na mizuka kama ile ya wana twitter huo ndio huwa msimamo wao.
 
Tuachane na matusi mkuu, unawez kusema hicho kikundi kilikuwa wapi kipindi watu wanatekwa na kuuliwa?
 
Hawa ni wasakatonge wanaowasujudia binadamu hawana lolote
 
CCM kama chama cha siasa ilishakufa limebaki genge la wahuni wanaotumia vyombo vya dola kubaki madarakani na kupora rasilimali za nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…