Msigwa karibu sana CCM wakati umewadia sasa. Zitto hamtawezana naye huko ACT Wazalendo

Msigwa karibu sana CCM wakati umewadia sasa. Zitto hamtawezana naye huko ACT Wazalendo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ni muda sasa chama chako hakina imani nawe. Naona hata Iringa tu hawawakukubali. Sababu hazinihusu.

Ila karibu sana CCM huku nadhani utapata nafasi ya kuweza kufanya mambo yako vizuri.kwa uhuru.

Chadema nadhani ni kama wamekuchoka pia kutokana na matamko yako. Umekuwa one man arm. Huaminiki,hukubaliki. Vijana wanakushambulia kutoka kila pande. Viongozi wamenyamaza hawasemi kitu.

Najua Zitto anatamani jina lako litokee tokee Mch. Msigwa. Kwnye chama chake ili kuongezea ka uaminifu flani. Lakini siamini kama wewe unaweza ukaakaa na Zitto. Zitto anapenda Umwinyi sana. Umwogope umche n.k hamtawezana.

Kiasili Wanyalukolo hawana hizo tabia. Labda tu uazime kwa watu wa Pwani. Then mnaweza sasa mkaendana. So kwa moyo Mkunjufu. Karibu sana CCM hapa ni Mtakuja. Wenzio akina Mdee tunapanga nao mikakati vizuri tu.
 
Tabia wa watu wa Pwani ziko poa sana hatuna haraka tunakuchekea tu mwisho wa siku unalia mwenyewe
 
Bado naendelea kujifunza tabia ya binadamu, siwezi kukuamini hata kwa 0.5%
 
Back
Top Bottom