MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokupokelewa simu haimaanishi mtu anakuogopa, sometimes hakutaki
Ampokee waongee nini?Kutokupokelewa simu haimaanishi mtu anakuogopa, sometimes hakutaki
Mbowe yupo busy na mambo ya msingiUnalazimishaje simu ya mwanaume mwezako kupokelewa
Rev ameshindwa kabisa ku move onMwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Labda kaondoka na mimba changa anahitaji matunzoAmesahau nini Chadema??