Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''

----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Angesema Mwenyekiti wake Samia hapokei angeeleweka, unampigia Mwenyekiti wa Chama kingine asipopokea unapiga yowe?
 
Attachments

  • downloadfile-21~2.jpg
    downloadfile-21~2.jpg
    141.1 KB · Views: 1
Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''

Wanaonana kwenye vikao gani vya Kamati wakati yeye yuko CCM .... Msigwa hii hama yake inaelekea kumtesa sana ROHO.
 
Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''

----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Sasa Mbowe ni wa kupokea simu ya kichaa?
Yaani Msigwa nilie kuwa namjua ndie wa kubebeshwa picha ya Mama Samia na kuitembeza jamani??
 
Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''

----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
ANAMPIGIA SIMU ZA NINI MWANAUME MWENZAKE?UNALALAMIKA MWANAUME MWENZIO HAPOKEI SIMU ZAKO!UNATAKA NN NA USHAHAMA CHAMA!!
 
Mchungaji ni sawa na yule punda aliyembeba bwana Yesu pale Galilaya watu wakatandika kanga nakumshangilia kwa vigelegele nakumlaki alipokua na bwana Yesu sasa aliporejea tena peke yake bila kumbeba bwana Yesu alipopolewa mawe ajifunzi namna yakuishi bila CDM apewe hata akuu wa wilaya kama wenzie aka akatulize shobo otherwise ataendelea kufedheheka nakupoteza hata ile heshima kidogo iliyobaki.
 
Back
Top Bottom