mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Uzee😄😄Ameshaishiwa pumzi kabla ya ligi kuanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzee😄😄Ameshaishiwa pumzi kabla ya ligi kuanza.
Hapo SASA😂😂. Kwani alisahau nini Kwa Mwenyekiti?Angesema Mwenyekiti wake Samia hapokei angeeleweka, unampigia Mwenyekiti wa Chama kingine asipopokea unapiga yowe?
Hawa ndiyo wakupimwa urine, kwani hajui ofisi ya Mbowe ilipoMwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Hakika. Kahamia mbogamboga lakini bado omgea yake yote anaongelea Chadema. Ni ujuha wa hali ya juu sanaHuyu mzee awahishwe Mirembe haraka
Kama ulikuwa bado uMwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Aibu kubwa snHakika. Kahamia mbogamboga lakini bado omgea yake yote anaongelea Chadema. Ni ujuha wa hali ya juu sana
Sana tu.Aibu kubwa sn
Apokee za kazu gani?
Msigwa wewe na Mbowe mlikwisha malizana bado nini!Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Kanuni muhimu: Pokea simu za watu muhimu tu!
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.