Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Nadhani Mbowe ndo kikwazo kikubwa cha maendeleo ya MsigwaMsigwa wewe na Mbowe mlikwisha malizana bado nini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Mbowe ndo kikwazo kikubwa cha maendeleo ya MsigwaMsigwa wewe na Mbowe mlikwisha malizana bado nini!
Hata wanao kosa miradhi kwenye familia, hawa lalamiki kiasi hiki.Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
ephen kumbe wewe Mkinga !!!Mbona umebadili jina ghafla😂
Sawa AJALI tuIshu iko hivi, bei ya manunuzi Msigwa aliyokubaliana na waliomnunua ilikuwa M500 na akatanguliziwa M 200 nyingine baada ya mwezi mmoja kwa sharti kuwa aondoke na kijiji na kuwapa taarifa za siri za kumaliza utawala Mbowe na hatimaye kuimaliza kabisa Chadema. Mwezi umepita Msigwa akakumbushia maokoto yake ndiyo akaambiwa hajatimiza vigezo na masharti kwa muda waliokubaliana. Mzozo umefukuta chini chini lakini kwa herufi kubwa Msigwa akaelezwa kuwa hizo M 200 ndiyo wameshamaizana aendelee kuwa mwanachama mwaminifu kwani kuna watu wamekitumika chama hadi wanazeeka chama hakijawahi kuwapa hata M 10 kwa mpigo.
Sasa hili limemlemea Mchungaji Msigwa kwani hakuna namna anaweza kuweka shinikizo ili alipwe M 300 iliyobaki ndiyo mtu wake wa karibu huko CCM akamwambia mpigie simu Mbowe umueleze kweli wote ili ikiwezekana yeye atarudi Chadema then atauleza umma jinsi CCM inavyonunua wapinzani hasa Chadema.
Na mpango ukikamilika kati yake na Mbowe awatingishie kiberiti CCM kuwa anarudi Chadema na kwenda kutapika jinsi alivyonunuliwa hii ikiwa ina maana Msigwa anataka kuwa blackmail CCM. Mbowe naye kwa upande mwingine alivujishiwa mpango huo lakini atatumika tu kama chombo cha kushinikiza Msiwa alipwe M 300 anayowadai CCM. Mbowe ndiyo maana amemfungia vioo kwa kutopokea simu yake. Msigwa anacheza mchezo wa hatari sana ambao unaweza kuhatarisha maisha yake. Hbari ndiyo hiyo.
Kidogo sio sana😉ephen kumbe wewe Mkinga !!!
vip labda anataka ambembeleze mwamba ili arudi chamaniMwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Ndiyo maana wamegoma kummalizia hela waliyokubaliana kwani walitegemea angekuwa na some vital information lakini wamekuta ni zile zile wanazoimba wote wanaohamia huku. Na hata wenyewe CCM wanaanza kulaumina kuwa hela aliyolipwa ni nyingi sana kwani hajaleta jipya.Mkuu, ndio amekubali kazi hiyo ya kumchafua lakini hana point.
Kutoka kwenye kubeba BibliaMwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
labda anataka arudi kundiniKwanza anampigia ili waongee nini?
Kwa mbaaaaaali au siyo? 😉Kidogo sio sana😉
Anadhalilishwa na vijana wadogoKutoka kwenye kubeba BibliaView attachment 3062703
Wakamuibua
View attachment 3062715
Wakaanza kuyapitia machungu ma furaha
View attachment 3062716
View attachment 3062717
Wengine nao wakaona atawafaa, wakamchukus
View attachment 3062720
Ila wakamtoa ukumbini kwa madai kwamba amevaa kinyume cha maadili,.
Ikabidi atoke na kwenda kubadikishwa nguo
View attachment 3062722
Sasa amepangiwa kituo chake kipya cha kazi, ila kwanza wamemprleka Chuo Cha Ukada akahitimu mafunzo
View attachment 3062723
Mafunzo yanaendelea, kutoka kubeba na kutembeza Biblia hadi kutembeza picha za mama
Mkuu, mstahi kidogo, maana hajui atendalo, pamoja na kwamba wahenga walisema; uwapo katika mazungumzo na hasa kama haya, basi yakupasa "KUBAKIZA AKIBA YA MANENO".Labda kaondoka na mimba changa anahitaji matunzo
Ndio wakunyumba!Kwa mbaaaaaali au siyo? 😉
Mbona anamsema mwenyekiti wake wa sasa kuwa amemtelekeza baada ya dili la kuhamia kijani kukamilikaMwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Hata ningekuwa mimi ni mbowe nisingepokea maana ningeona umetumwa urecord mazungumzo uyarushe Live.Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.