Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''

----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
 
Sioni huo ulazima mbona kila mtu ana haki na matumizi ya simu anayoimiliki.

Ukimpigia tu ukiona hapokei tuma sms.

Asipojibu mwache.

Hii tabia imekomaa sana miongoni mwetu kupangiana muda wa kupokea simu.
 
Rev ameshindwa kabisa ku move on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…