Msigwa: Mimi ndiye Mwandishi wa habari wa kwanza Tanzania kutuma stori kwa Internet

Msigwa: Mimi ndiye Mwandishi wa habari wa kwanza Tanzania kutuma stori kwa Internet

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea



​
 
Anamaanisha kutuma kwa email? kutuma doc au pdf kwa attachment? au kupost/kutuma kwenye website? Mbona bado anabofoa tu pamoja na kujipakulia mijinyama yote?

Internet ni kitu kingine kabisa, huyu baba naye dah!
 
Kuna anayejua ID yake humu? Bila shaka ana avator humu, huyu ni mtu maarufu na mashuhuri nchini hakosikani humu
 
Utembee 80 Km kwenda shule harafu wewe mwenyewe uwe wa kwanza kutumia Internet utani huo waliotatua changamoto ya usafiri na kusoma shule bora wachelewe kutumia Internet utani huo mazee..
 
Sio mbaya, haya n mafanikio makubwa sana kwake 😂
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
Huyu alisoma mpaka darasa la ngapi? Ni kuuliza tu?

Ujinga wa kiwango hiki hata mjusi wanashangaa.
 
Back
Top Bottom