Msigwa: Ruti ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala - Mjini itaanza Mei, Wadau wetu walipata changamoto

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali.

Chanzo: Azam TV

Pia soma:
~ Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona?
~
Usafiri wa Mwendokasi Mbagala kuanza kazi mwezi Machi 2025
Huyu ni SOUND kupita kiasi, msimwamii hata kidogo.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali.

Chanzo: Azam TV

Pia soma:
~ Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona?
~
Usafiri wa Mwendokasi Mbagala kuanza kazi mwezi Machi 2025
Yaani mama alipata changamoto! Haiwezekani.
 
Back
Top Bottom