Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga huko, ni mwendo wa kupondana kwa kwenda mbere!
====
“Nchi yetu ina utulivu mkubwa, tunapendana, tunashirikiana, sisemi mimi napinga mfumo wa vyama vingi, lakini napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama huu wa chadema na vyama vingine. Hawa ni wababaishaji, wakajifunze upya mfumo wa vyama vingi, tuna taifa la kulijenga.
“Kwahiyo nimekuja kwenu ndugu zangu kwamba tuna wajibu wa kumuunga mkono Rais Samia aendelee kuijenga nchi yetu na kuiongoza kwasababu katika kipindi chote Rais Samia amepeleka pesa nyingi katika miradi ya maendeleo.
“Wakina Mbowe wanaosema wanataka kukomboa nchi ni waongo, wanataka kukomboa matumbo yao, hii nchi ilishakombolewa, na ndio maana watu wa Dar waligoma kuandamana.”
“CHADEMA ni kama yule mtu ambaye kuna maua mengi lakini yeye anachagua miba badala ya kufurahia harufu yam aua na uzuri. Wanatafuta visababu vidogo vidogo ambavyo havina tija.”
Soma Pia:

- Yaliyojiri kwenye mahojiano kati ya Chief Odemba na Peter Msigwa kwenye kipindi cha Medani za Siasa
- Kuelekea 2025 - Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu