Msigwa: Sisemi napinga mfumo wa vyama vingi bali napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama wa CHADEMA na wengine

Mwananchi anatoa maoni na mtazamo wake huru kuhusu jambo fulani, kitu ambacho ni uhuru na haki ya kila mTanzania. Lakini inashangaza eti mtu from no where ana suffocate kwasababu yeye ana mawazo tofauti 🤣

Au uso usiokuwa na matumaini wa Katibu umekukwaza mkuu?
 
Nani ame suffocate Mkuu, mbona unajishtukia chawa?🤣🤣
badala mtu atoe wazo bora zaid, na mtazamo mpya wa maana wenye fikra mbadala dhidi ya hoja ya muungwana, eti mtu anajiskia vibaya 🤣

hii Demokrasia ni kito cha ajabu sana aise dah 🐒
 
CCM imejaza hazina ya watu wa kuisemea chama, tena wafia chama halafu leo eti mchungi mmoja awe ndio anakisemea chama kila mikutano.
Hahaa hii ni aibu kubwa kwa chama na zaidi aibu hiyo iwaendee hao wanaomualika kwenye mikutano yao
 
Mwananchi anatoa maoni na mtazamo wake huru kuhusu jambo fulani, kitu ambacho ni uhuru na haki ya kila mTanzania. Lakini inashangaza eti mtu from no where ana suffocate kwasababu yeye ana mawazo tofauti 🤣
Ogopa wajinga wakiwa wengi Wanaweza Kuchagua Rais, hasa wajinga wanapolindwa na nguvu ya Dola katika kutoa maoni ya kijinga huku watu wenye maarifa wakikaa kimya na kuangalia yanayoendelea
Plato aliona kuwa watu wengi, ambao aliwataja kama "wajinga," hawana uwezo wa kufanya maamuzi bora ya kisiasa kwa sababu hawana uelewa wa kutosha kuhusu mambo muhimu ya kiserikali au kijamii. Kwa hiyo, akasema kwamba uhuru wa watu hawa kutoa maoni na kushiriki katika maamuzi ya umma unaweza kuwa hatari kwa ustawi wa jamii.
Kwa mfano, Plato alilinganisha demokrasia na meli inayoendeshwa na wafanyakazi wasio na uzoefu, huku mabaharia wenye maarifa na uzoefu wakiwa hawazingatiwi. Katika hali kama hiyo, anasema kuwa meli haitaweza kufika salama kwa sababu ya ukosefu wa uongozi wenye hekima na maarifa
 


Watu wanatekwa,wanauwawa,wanapokonywa haki ya kuishi yeye yuko yuko.
 
Anatumia haki yake ya kikatiba Freedom of expression kwahiyo aachwe
Huo uhuru unao uhubiri hapa ..mbona wakiongea wengine mnawateka na kuwaua!! ... Usiwe mjinga kiasi hicho.
 
Reactions: Cyb
hakuna haya ya kuogopa unless huna hoja au huna mipango....

Muerevu badala ya kutoa mawazo mapya na bora zaid ya wengine, Lakini pia badala ya kutoa maoni, mtazamo na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi, unatoa mihemko 🤣

Aristotle alisha sema, if you isolate yourself from taking part in political administrations by making yourself exceptional, educated, more superior than others others but you are unable to mobilize or convince one person to think like you, then don't blame to be ruled by a fool..

kujipa umuhimu wa kijinga na mihemko ni vitu useless kabisa kwenye siasa na uongozi, wakati huo huwezi kubadili mtazamo wa muungwana hata moja uwe sawa au kama wako, unalaumu tu ooh sijui nani wajinga 🤣
 
His personal integrity has gone.
 
Huo uhuru unao uhubiri hapa ..mbona wakiongea wengine mnawateka na kuwaua!! ... Usiwe mjinga kiasi hicho.
Mimi ndo nawateka?
Au nyie wapumbavu wa Ccm ndo mnatekana ma wapumbavu wenzenu wa chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…