SG G.Msigwa is very right,Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati wa mahojiano maalum aliyofanya na kituo cha redio cha Bongo FM Mei 15, 2026, amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayojiongoza kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni zake, na haitakubali kuendeshwa au kupangiwa namna ya kufanya mambo yake na wanaharakati.
"Tanzania sio nchi ambayo inatakiwa iamuliwe na mwanaharakati namna ya kuendesha mambo yake.
Tanzania inaendeshwa mambo yake kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni zake kama zinavyoongozwa na katiba ya nchi yetu. Lakini pia Tanzania inaendeshwa kwa maslahi ya Watanzania na sio kwa maslahi ya mtu mwingine yeyote aliyeko iwe ndani au nje ya nchi."
Hata wakoloni weupe walikuwa wanasema maneno haya haya pindi wapigania uhuru wetu kina mzee kinjekitile ngwale, Mzee Mirambo, Mzee Isike, Mzee Mangimeli, Mzee Nyerere, Bibi Titi mohamed na wengine wote waliopigania uhuru ila hawakufua dafu mbele ya nguvu ya uma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati wa mahojiano maalum aliyofanya na kituo cha redio cha Bongo FM Mei 15, 2026, amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayojiongoza kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni zake, na haitakubali kuendeshwa au kupangiwa namna ya kufanya mambo yake na wanaharakati.
"Tanzania sio nchi ambayo inatakiwa iamuliwe na mwanaharakati namna ya kuendesha mambo yake.
Tanzania inaendeshwa mambo yake kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni zake kama zinavyoongozwa na katiba ya nchi yetu. Lakini pia Tanzania inaendeshwa kwa maslahi ya Watanzania na sio kwa maslahi ya mtu mwingine yeyote aliyeko iwe ndani au nje ya nchi."
SG G.Msigwa is very right,
halafu the gentleman as days goes he becomes more brilliant politically speaking 🔥