Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nakwambia washajizima data na hawajali!Anaongelea tuzo katka situation tuliyonayo?
Leo hujanywa pombe.hatuitaki.
pumbavu
Naona na wewe umechafukwa sana. Sijui nini kimekutokea haukua hivyo. Kumsifia kumeishia wapi?hatuitaki.
pumbavu
Mmhhh hii ID Kuna mtu calog in na kuanza kukomenti hivyo.hatuitaki.
pumbavu
Tunasubiri tuzo ya mauaji....Msemaji mkuu wa Serikali Gerson amesema Tuzo ya heshima ya Rais ni Tuzo ya watanzania wote kwa jumla na si yake peke yake.
Soma Pia: Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka
Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutua Tanzania leo Novemba 21 akitokea nchini Morocco kwenye (CAF AWARDS) zilizofanyika Novemba 19.
Tangu jana kuna jambo limeniboaLeo hujanywa pombe.
πππTangu jana kuna jambo limeniboa
Pole sana ulichelewa kushitukaTangu jana kuna jambo limeniboa
waitπππ
Lipi hilo?