Hiki ndicho Watanzania wanakitaka tukiondoa Usimba na Uyanga"kwahiyo kiasi hicho hicho ambacho tumekitoa kwa Yanga tutakitoa kwa Simba"
Wamekosea sna approach ya hili suala tena sanaSometimes Huwa nawaonea huruma...sio simba ya miaka ile
Chama cha siasaMaoni ya mdau
Wakati Yanga inapigania uhuru makolo wao walikuwa upande wa mwarabu so wakitulize [emoji1787][emoji1787]View attachment 2953434
Hatari sanaMakolo walitaka waandamane
Wajipange kwa marudiano sasa