Msigwa: Ufafanuzi wa suala la Simba

Msigwa: Ufafanuzi wa suala la Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine.

Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama milioni 42 hivi, kwahiyo kiasi hicho hicho ambacho tumekitoa kwa Yanga tutakitoa kwa Simba.” Gerson Msigwa, Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
1712206782686.jpg


Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
 
Walitaka tuwasugue migongo,tungeweza wapi
 
Sometimes Huwa nawaonea huruma...sio simba ya miaka ile
Wamekosea sna approach ya hili suala tena sana
Wangepiga kimya wakaendelea na mipango Yao kma ilivyokuwa na kuzalisha mpango mpya shida ni wamewaza upigaji haraka haraka
 
Back
Top Bottom