Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
“Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine.
Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama milioni 42 hivi, kwahiyo kiasi hicho hicho ambacho tumekitoa kwa Yanga tutakitoa kwa Simba.” Gerson Msigwa, Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF