PostGE2025 Msigwa: Ukiwa na Mahakama dhaifu, Jeshi la Polisi linalopendelea chama kimoja nchi haiwezi kusimama

PostGE2025 Msigwa: Ukiwa na Mahakama dhaifu, Jeshi la Polisi linalopendelea chama kimoja nchi haiwezi kusimama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa wakati akikaribishwa ndani ya chama baada ya kurejea akitokea CCM amesema; "Ukiwa na mahakama dhaifu, nchi haiwezi kusimama. Ukiwa na jeshi la polisi dhaifu linalopendelea chama kimoja, lazima migogoro ya nchi itatokea. Ukiwa na mifumo ambayo—kwa sababu hiyo ndiyo roho ya nchi na inashika taifa.

Kwa hiyo ni mimi ninataka tuongeze hiyo nguvu, wakati wenzetu upande wa pili wanataja madaraja, wanataja barabara, wanataja vituo vya polisi, wanataja miundombinu; vitu ambavyo ni vya muhimu. Lakini cha muhimu cha kwanza ni utu wa binadamu, haki, demokrasia, uhuru wa watu, utu; ambao huyu mwananchi akiwa na utu na demokrasia, hivyo vitu vyenyewe ndivyo vifuate."

 
Back
Top Bottom