Msigwa: Vijana msinitukane mtakamatwa tu, Polisi wameshakusanya zaidi ya Watu 80

"Watoto wa masikini"..yeye ni mtoto wa tajiri kumbe..? akiambiwa afanyiwe accounting ya huo utajiri kama mtumishi wa umma yuko tayari?

Matusi yanamstahili huyu mjinga kabisa.
 
Alipaswa kujiuliza hayo matusi, ni kwa sababu vijana ni wahalifu, au ni kwa sababu hamuwasikilizi mpaka wanaaumua kutumia lugha ngumu?

Hakuna anayeshangilia matusi, lakini kuna mstari mwembamba sana kati ya tusi na ukweli mchungu kwa mtawala.
 
Hilo "jeshi la polisi " unalolipa pongezi limefanikiwa kuzuia tukio gani la utekaji?

Hadi sasa hilo "jeshi la polisi" limemkamata nani kama mtekaji ?

Ripoti ya mauaji ya Ali Kibao ipo wapi?

Waliomteka Mdude wako wapi?

Waliomshambulia padre Kitima wako wapi?

Waliomteka Soka wako wapi?

Waliomteka Polepole wako wapi?
 
Msigwa wewe ni ***** tu kama machoko wengine, mhalifu ni wewe, huyo Samia wako pamoja na hao polisi mbwa mnaowatuma hovyohovyo kwa sababu ya njaa zao, kujipendekeza na uchawa.
Vijana unaolalama kwamba wanakutukana/wanawatukana ufahamu kwamba people express their feelings in different ways. Mnawabawania watu haki zao hata, uhuru wa kuongea against the establishment pale mnapokosea haupo.
Umeona huyo ajuza wako Samia jinsi Gen Z wa Kenya walivyomnyoosha kwenye statement yake ya kuwachapa viboko vijana wanaoenda kinyume na atakavyo yeye.
You've become big-headed unadhani haupaswi kusemwa wala kukosolewa, pumbavu zako.
 
Uzi ni kuhusu watukanaji. Wewe ni mtukanaji?
 
Hivi viongozi wa Afrika wanashindwa kuwa kama Trump, wanashindwa Kujibu matusi mitandaoni
 
Ninafikiri matusi yasiwe chanzo cha mtu kushtakiwa.

Simaanishi defamation namaanisha matusi. Mfano mtu akaniquote hapa akanitukana sina akili nisianze kupambana kumfunga. Ila akisema Castr ni mmliki wa danguro lipo Mbagala, hapo ni sawa nikifungua kesi.

Viongozi wawe na ngozi ngumu.
 
Wewe huwa unakubali kutukanwa?
 
Uzi ni kuhusu watukanaji. Wewe ni mtukanaji?
Uzi haukuwa wa pongezi pia kwa hilo " jeshi la polisi"

Jukumu kuu la "jeshi la polisi" ni kulinda watu na mali zao.

Sasa kama watu wanapotea wengine mwaka mmoja sasa wengine miwili hawaonekani nani wanatakiwa kuulizwa?

Acha kukwepa swali hawa watu wako wapi?
 
Mkuu kuna kukosoa na kutukana. Hata wewe huwezi furahia kutukanwa ila waweza kubali kukosolewa. Kutukana ni kosa kisheria na hakuna justification yoyote kwenye hil

Wao wanawaita wenzao - Nguchiro 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…