Msigwa: Vijana msinitukane mtakamatwa tu, Polisi wameshakusanya zaidi ya Watu 80

Mkuu kuna kukosoa na kutukana. Hata wewe huwezi furahia kutukanwa ila waweza kubali kukosolewa. Kutukana ni kosa kisheria na hakuna justification yoyote kwenye hilo.
Kwa sheria ya Tanzania kama hayo makosa yatavunja amani au kuchochea amani kuvunjwa ni kosa.

Kama hayo matusi yana vitisho ndani yake ni kosa.

Hii generalization ya kusema kutukana ni kosa kisheria umeitoa wapi? Kama hauna uhakika na kitu hauna haja ya kukitaja kwa nguvu zote.
 
Wewe huwa unakubali kutukanwa? Kama sio kosa tukana watu hapo kwenu ili ukajitetee mahakamani.
 
Hivi Tanzania viongozi wanafikiria kuwaletea maendeleo kweli ? Maana viongozi wamejaa majungu fitina tu vitisho wanasahau ni waajiliwa wa wananchi?
 
Hayo matusi yanazuia wao kutimiza majukumu yao!!???
 
Kupiga watu risasi ni kosa kisheria, mbona hatuoni wala kusikia watu wamepelekwa mahakamani?

Au kunya anye kuku?
 
Hivi hii nchi watu hawana utashi wa kufanya kitu wenyewe ni mpaka walipwe ama kuhamasishwa na wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…