Msije mkamdanganya Mama abadili vipengele vya tume ya uchaguzi. Hatatoboa

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Kwema Wakuu!

Kuna watu nimeona wanamshawishi Mama akubali pendekezo la kufanywa Reforms kwenye vipengele vya uchaguzi wakimwambia ati anakubalika na watu watamchagua.

Asije akathubutu hata kuwaza hivyo achilia Mbali kufanya. Akifanya hivyo hatoboi kwenye boksi la Kura.

Ukiwekwa Uwanja Sawa na WA Haki na Uhuru, hawezi kutoboa. Msimdanganye. Sikilizeni Wazee wanajua kwa nini mfumo wameuweka hivyo.

Ninyi vijana wa sasa hamna mjualo. Mmekalia Uchawa. Kama mnataka asirudi Ikuli baada ya uchaguzi kubalini hizo reforms.

Mimi nipo hapa.
 
Hii haiwezekani ndani ya miaka 20 ijayo, jamaa wanajua jinsi ya kuwahadaa wapinzani na watanzania wapenda siasa.
 
Wee unafikiri yeye hana akili?
 
Hilo.lipo wazi siyo mama tu hata wabunge hawatoboi. Ndiyo maana mabango ya mama kila mahali kudanganya umma
Your browser is not able to display this video.
 
Mtibeli mtibeli mtibeli.
Acha mambo yako vipengele vibadilishwe atashinda
 
 
WE jamaa kwa hapa hili andiko lako ni batili. Mama anapendwa anaupiga mwingi
 
Kumbe unajua box litakuwa huru? Box likiwa huru sindio anapatikana mgombea wanamtaka watu?

Ushindi ni wake au wa watanzania?
 
Hataamini macho yake hata pale kwao kizimkazi atapigwa asubuhi sana.
 
 
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi hata uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Hata hivyo sikulaumu sana kwavile tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji utaambiwa kama umekua uondoke, hili tatizo la kuhoji limebebwa kwenye ngazi zote za maisha huko mashuleni, makanisani, vyuoni kwenye vyama vya siasa na kwingineko nitaje kwa uchache

Pia tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite

Hitimisho someni kuhusu 'ostracism' mtanishukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…