Sijui afande alikuwa ametumia kitu gani siku hiyo.Hilo.lipo wazi siyo mama tu hata wabunge hawatoboi. Ndiyo maana mabango ya mama kila mahali kudanganya umma
View attachment 3307602
We vipi nmefanyaje???!!!!😂😂😂Evelyn Salt acha mambo ya kiduwanzi. Kama huna usingizi kapunge upepo nje
Unajiua unachokifanya, ungekuwa kadem ningesema unanitaka kijanjaWe vipi nmefanyaje???!!!!😂😂😂
Na sisi tunatamani sana ajaribu!
Mama atawale tu hao manyumbu
Uzi kama huu ni madhara ya uanaharakati unaoanzia na kuishia jijini Dar, tembea huko Tanzania uone mangapi mapya yaliyofanyika katika awamu hii ya sita.Kwema Wakuu!
Kuna watu nimeona wanamshawishi Mama akubali pendekezo la kufanywa Reforms kwenye vipengele vya uchaguzi wakimwambia ati anakubalika na watu watamchagua.
Asije akathubutu hata kuwaza hivyo achilia Mbali kufanya. Akifanya hivyo hatoboi kwenye boksi la Kura.
Ukiwekwa Uwanja Sawa na WA Haki na Uhuru, hawezi kutoboa. Msimdanganye. Sikilizeni Wazee wanajua kwa nini mfumo wameuweka hivyo.
Ninyi vijana wa sasa hamna mjualo. Mmekalia Uchawa. Kama mnataka asirudi Ikuli baada ya uchaguzi kubalini hizo reforms.
Mimi nipo hapa.
Kama ni hivyo kusiwe na uchaguzi turudi kwenye mfumo wa utawala wa kifalmeKwema Wakuu!
Kuna watu nimeona wanamshawishi Mama akubali pendekezo la kufanywa Reforms kwenye vipengele vya uchaguzi wakimwambia ati anakubalika na watu watamchagua.
Asije akathubutu hata kuwaza hivyo achilia Mbali kufanya. Akifanya hivyo hatoboi kwenye boksi la Kura.
Ukiwekwa Uwanja Sawa na WA Haki na Uhuru, hawezi kutoboa. Msimdanganye. Sikilizeni Wazee wanajua kwa nini mfumo wameuweka hivyo.
Ninyi vijana wa sasa hamna mjualo. Mmekalia Uchawa. Kama mnataka asirudi Ikuli baada ya uchaguzi kubalini hizo reforms.
Mimi nipo hapa.
Huo ndio ukweli wa nchi yetu na chaguzi zetu!Kwema Wakuu!
Kuna watu nimeona wanamshawishi Mama akubali pendekezo la kufanywa Reforms kwenye vipengele vya uchaguzi wakimwambia ati anakubalika na watu watamchagua.
Asije akathubutu hata kuwaza hivyo achilia Mbali kufanya. Akifanya hivyo hatoboi kwenye boksi la Kura.
Ukiwekwa Uwanja Sawa na WA Haki na Uhuru, hawezi kutoboa. Msimdanganye. Sikilizeni Wazee wanajua kwa nini mfumo wameuweka hivyo.
Ninyi vijana wa sasa hamna mjualo. Mmekalia Uchawa. Kama mnataka asirudi Ikuli baada ya uchaguzi kubalini hizo reforms.
Mimi nipo hapa.
Naona anataka sifa kujipendekeza apandishwe cheo....anautaka DCP kwa nguvu sana muda umeishaaaaKwani nini kinaendelea huko dsm?View attachment 3307605
Huu nao ni uchawa tu, huna tofauti na wengine.Kwema Wakuu!
Kuna watu nimeona wanamshawishi Mama akubali pendekezo la kufanywa Reforms kwenye vipengele vya uchaguzi wakimwambia ati anakubalika na watu watamchagua.
Asije akathubutu hata kuwaza hivyo achilia Mbali kufanya. Akifanya hivyo hatoboi kwenye boksi la Kura.
Ukiwekwa Uwanja Sawa na WA Haki na Uhuru, hawezi kutoboa. Msimdanganye. Sikilizeni Wazee wanajua kwa nini mfumo wameuweka hivyo.
Ninyi vijana wa sasa hamna mjualo. Mmekalia Uchawa. Kama mnataka asirudi Ikuli baada ya uchaguzi kubalini hizo reforms.
Mimi nipo hapa.
Jamaa ni mende wa chooni. Ameandika nini hapo juu.Kwema Wakuu!