Msije mkamdanganya Mama abadili vipengele vya tume ya uchaguzi. Hatatoboa

Uzi kama huu ni madhara ya uanaharakati unaoanzia na kuishia jijini Dar, tembea huko Tanzania uone mangapi mapya yaliyofanyika katika awamu hii ya sita.

Samia anafanya mengi sana kiasi cha kutokuwa na wasiwasi wa kushinda uchaguzi huu wa 2025, ukiwa shabiki anayeishia kwenye yanayoandikwa mitandaoni huwezi kuufahamu uwezo wa urais wa SSH.
 
Kama ni hivyo kusiwe na uchaguzi turudi kwenye mfumo wa utawala wa kifalme
 
Wao ccm wana msemo sumu haijaribiwi kwa kuonja. Haki na ccm nikama shenani (ccm) na Mungu (haki). Kwenye dhuruma huwa wanaweka dini pembeni kwanza
 
Huo ndio ukweli wa nchi yetu na chaguzi zetu!
 
Huu nao ni uchawa tu, huna tofauti na wengine.
 
CCM ni waoga tu ila Tanzania Bara bado ina wajinga wengi sana wanaweza kuibakisha ccm madarakani kwa kira halali kabisa
 
Jamaa ni mende wa chooni. Ameandika nini hapo juu.

Huyu jamaa ni mtanzania mwenzetu au ni ndezi wa porini?

Kwa busara zake akamshawishi anavyotaka yeye ili abaki madarakani.

Jamaa yangu toka huko chooni kuna siku utatoka na harufu na ndiyo itakuwa mwisho wako. Vijana wenzako watalala sambamba na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…