Msije mkamdanganya Mama abadili vipengele vya tume ya uchaguzi. Hatatoboa


Kwani lazima awe yeye tu? Dunia ina watu zaidi ya billion 8, nani special sana sasa?
 
Mama kwa aliyoyasimamia kama mwanamke akileta reforms na katiba mpya kabla hajamaliza muhula wake ataacha legacy itakayozidi huo u.dr wanaompa wa mchongo.

Hakutakuwa na raisi atakayekumbukwa na.heshima kama yeye.

Hana baya mama yetu tatizo madalali akina babu tale na rafiki.zake
 
Huoni kama wewe ni mjinga. Kwahiyo wewe unataka wasibadili vipengele kisa mama hatatoboa. Unataka vibaki hivyo ili mama atoboe. Kwanini ulizaliwa Tanzania na una akili za hovyo kiasi hicho? Tunapigania nchi hatupiganii Mama. Who is Mama?
 
Huoni kama wewe ni mjinga. Kwahiyo wewe unataka wasibadili vipengele kisa mama hatatoboa. Unataka vibaki hivyo ili mama atoboe. Kwanini ulizaliwa Tanzania na una akili za hovyo kiasi hicho? Tunapigania nchi hatupiganii Mama. Who is Mama?
Robert alichoandika sio mjinga anachokota tu mijadala.
 
CCM wanalijua hilo, na ndiyo maana anayesema NO Reform No Elecrion anageuka kuwa adui yao.

Ki ukweli kabisa kwamba kama Reforms zikifanyika mama HATOBOI na ndiyo itakuwa mwisho wa CCM.
 
Hivi wewe unaandika haya mambo kwa masilahi ya Taifa au kwa masilahi ya mtu?

Ukipewa kipawa cha uandishi inabidi uwe a responsible person
 
Hivi wewe unaandika haya mambo kwa masilahi ya Taifa au kwa masilahi ya mtu?

Ukipewa kipawa cha uandishi inabidi uwe a responsible person

Mkuu Mimi kutoa maoni yangu imekua tatizo kwako?
Haya nimetumia Uhuru wangu, wewe umetumia wakwako kusoma, kuelewa kumekusaliti
 
CCM sio wajinga, wana akili kweli kweli

hawawezi kufanya uzembe wowote
 
Mkuu Mimi kutoa maoni yangu imekua tatizo kwako?
Haya nimetumia Uhuru wangu, wewe umetumia wakwako kusoma, kuelewa kumekusaliti

Hujatoa maoni, umetoa ushauri kuwa mama asishauriwe kubadili sheria na katiba ili kuweka mazingira ya haki katika chaguzi zetu. Ushauri wako ukifanyiwa kazi tunaumia sisi kama Taifa. Usidhani hawasomi JF.

Badala ya kutumia kalamu kuwapa mbinu watesi, ni vizuri kuitumia kalamu kuwaconvince au hata kuwaingiza "kingi" watesi.
 
We bwege unafikiri siasa ni zile stori zaki za kujitungia kuhusu wanawake? Umeandika uchafu, mama asishinde dhidi ya nani? Kuanzia leo nimekudharau kumbe ni poyoyo tu. Kiwango cha Rais Samia kipo juu sana ht asipige kampeni ushindi wake ni zaidi ya tisini. Hizo bangi zimewaharibu akili. Watanzania wana akili siyo wehu wachague kioja km Lissu. Lissu ukimwangalia tu ni km mtu hana akili timamu, na ni wazi ni kibaraka.
 
Wanaomdanganya ni wale ambao hawataki abadilishe vipengere. Wasiomdanganya ni wale wanao mwambia abadilishe vipengere vya tume. Walishangilia sana tangu Lisu alipokamatwa. Haifai kufanya sherehe kabla haujafika mwisho wa mafanikio.
We ni zombie tu, ukiulizwa ht kipengele kimoja hakuna unachojua
 
Wenye Maslahi ya Nchi hii ambayo yanabebwa na Chama chake hawawezi kumruhusu kufanya reforms!
Akikubali kufanya hivyo harafu Chama kikafia mikononi mwake wanaweza hata kumkutanisha na Izraili!
 

Maoni ni sehemu ya ushauri
 
Kwa hiyo waache kubadili ili aendelee kutawala kama Malkia milele bila uhalali
 

😀
Mbona unajipa umuhimu kwa Watu wasiokujua na usiowajua.
Wewe umdharau au umheshimu mtu inampunguzia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…