Msije mkamdanganya Mama abadili vipengele vya tume ya uchaguzi. Hatatoboa

Ww fala soma kwa makini anazungumzia sheria za uchaguzi kubadilishwa zingatia hiyo attachment hapo chini uone mojawapo ya hiyo sheria ya kidwanzi kama bichwa lako
 

Attachments

  • downloadfile-1_1.jpg
    165.3 KB · Views: 12
Habar y bi mkaz ilishiaga pale Dom kwnye mchakato wa kumpata. Ni dhahir alitambua yy sio chaguo sahihi la wana Ccm hata na Watanzania kwa ujumla, ndio maana alipitishwa kimchongo.
 
Kwahiyo wale raia wanao jaza kwenye kutano zao sio CCM kumbe? Kwa wingi ule anatoboa mapema tu, afanye tu hizo reforms.

Wananchi ndio wanahitaji uchaguzi uwe wa huru na haki sio Samia, Samia ni nani katika nchi mpaka akatae matakwa ya wananchi?
 
Wewe endelea kumshauri asikubali mabadiliko, halafu uone atafanyaje kuzima hili vuguvugu la no reform no election! Ata jichafua na hatotakata hata afanye nini! Muda ushaamua nini kinatakiwa kuinusuru Tanzania na uroho wa ccm na washirka wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…