Msijemwambia Pele kuwa anafananishwa na Messi

Msijemwambia Pele kuwa anafananishwa na Messi

Mjadala mmeuleta tena kwa heading tofauti. Huu mjadala ushafungwa tangu dec 18. 2022. Wakati king Messiah alipovikwa joha na kukabidhiwa kombe la dunia mbele ya watu zaidi ya billion 5 ulimwenguni kote.

TeamCR7 mnateseka sana. Kazi kuhamisha magoli tu.
 
Hahaaaa!!!dawa ni chungu lakin utaimeza tu utake uctake
Huyu pigmiss ambae anakuzwa na vyombo vya habari ambavyo vinahongwa na makampuni yanayomdhamini ndio anafanishwa na PELE?.

NB: UKITAKA KUJUA KUKUZWA (KUBEBWA) KWAKE REJELEA PENALTY ZA MCHONGO KWENYE WC NA COPA AMERICA KUFANYIKA MARA 4 KWENYE MIAKA 8 HAYA YOTE YAMEFANYWA ILI DWARF ASHINDE HAYO MAKOMBE NA KWA UFAHAMU ZAIDI REJELEA CHANZO CHA FIFA KUVUNJA USHIRIKIANO NA BALLON D'OR.

MESSI MOST OVERRATED FOOTBALLER EVER.
 
Back
Top Bottom