Msijifanye hamjaiona video hii ya Nabii Tito

Msijifanye hamjaiona video hii ya Nabii Tito

Tito ni miongoni kwa watu wanaoishi kijanja kijanja mjini,nashangaa muda wa kutafuta pesa za kufanya promotion ya mambo hayo huwa anatoa wapi.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Jamaa huwa anatumia Maandiko vibaya Sana


Ni kweli Torati imeruhusu Mashoga, wazinzi wauwawe ,ila Yesu aliweka sawa hili Jambo

Asiye na dhambi ndio arushe jiwe ,


Kwahiyo sheria ipo pale pale ila wapigaji hawapo maana sharti wasiwe na dhambi .
 
Back
Top Bottom