Wanigeria wana invest Tanzania..je kuna Mtz aliye na investment Nigeria?
Wanigeria wana invest Tanzania..je kuna Mtz aliye na investment Nigeria?
Wanigeria wana invest Tanzania..je kuna Mtz aliye na investment Nigeria?
Yaani ukiangalia uchambuzi wake unaonesha tumewazidi kwa jambo la kipuuzi tu, huko kuuza sembe labda, ambako ni tatizo kwa uchumi wa Taifa letu, na wala sio sifa.
Hilo la kuwakaribia kwenye muziki jamaa ameongopa au labda hajui muziki, wenzetu wanamuziki wao wanaimaliza Africa kwa kufanya shows mbalimbali ikiwemo Tanzania.
Kwa kifupi sikuelewa mantiki ya kuanzishiwa thread uchambuzi huu wa ovyo uliofanywa kwenye Facebook.
Ova
Kiukweli hata mimi sijaamini kama Eddo huyu ninayemjua na kumheshimu kwa uchambuzi wake yakinifu kuhusu soka anaweza kusema utumbo kama huu.
Hapa kateleza kabisa.
kuna watu wanatoka mapovu kwa sababu ametajwa mtu wa mtaa wa pili! ajabu sana hii kwa watanzania............EDO TOA HILO JINA LA DIAMOND WEKA LA ALIKIBA
Hahahaaaaa wewe mchokozi sana ujue?
Edo mnywa chibuku kasemaNani kasema Wanaija na Watanzania tunabifu?? Hata hao wanao rushiana maneno hawasemi directly ,acheni kukuza mambo