Msikie Edo Kumwembe kuhusu bifu la Watanzania na Wanaija

Msikie Edo Kumwembe kuhusu bifu la Watanzania na Wanaija

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Edo Kumwembe: ''Nasikia tu kuna bifu Wanigeria vs Watanzania mitandaoni.NINACHOJUA ni hiki hapa, zamani walikuwa wanatuzidi kuuza unga, sasa hivi tumewazidi.

Wakatuzidi kucheza filamu, tukawaiga sana tukawakaribia, Kanumba alipofariki wakarudi fomu tena wakatuacha.

Wakatuzidi muziki, wameona Diamond kaja juu, wamenuna.Wakatuzidi Big brother wakaoa na dada yetu, lakini sasa tumewazidi tena Big Brother, kwanini wasinune?''.
 
Hii nayo ni fursa.... waziri wa michezo ona namna ya kutumia nafasi hii kujitangaza... naona uganda nao wamejiunga na bwana Daudi...
 
Wanigeria wana invest Tanzania..je kuna Mtz aliye na investment Nigeria?

Nani? Dangote? Kwani Dangote yuko kwenye level za competition za mitandaoni? Edo anaweza kuwa sahihi....hao wanaopigana vikumbo ni watu wanaojuana kwenye biashara zisizo rasimishwa.
 
walituzidi kwenye mafuta sasa tuna gesi na Dangote wao kahamishia mabilioni yake huku kwanini wasinune?
 
Yaani ukiangalia uchambuzi wake unaonesha tumewazidi kwa jambo la kipuuzi tu, huko kuuza sembe labda, ambako ni tatizo kwa uchumi wa Taifa letu, na wala sio sifa.
Hilo la kuwakaribia kwenye muziki jamaa ameongopa au labda hajui muziki, wenzetu wanamuziki wao wanaimaliza Africa kwa kufanya shows mbalimbali ikiwemo Tanzania.
Kwa kifupi sikuelewa mantiki ya kuanzishiwa thread uchambuzi huu wa ovyo uliofanywa kwenye Facebook.
Ova
 
Kiukweli hata mimi sijaamini kama Eddo huyu ninayemjua na kumheshimu kwa uchambuzi wake yakinifu kuhusu soka anaweza kusema utumbo kama huu.
Hapa kateleza kabisa.
 
Kiukweli hata mimi sijaamini kama Eddo huyu ninayemjua na kumheshimu kwa uchambuzi wake yakinifu kuhusu soka anaweza kusema utumbo kama huu.
Hapa kateleza kabisa.

Kateleza sana, nadhani alikurupuka kwa kutaka tu naye awe ameandika chochote kuhusu huo mgogoro. Sasa matokeo yake kaandika pumba kuliko pumba za kiini cha tatizo lenyewe.
Ova
 
kuna watu wanatoka mapovu kwa sababu ametajwa mtu wa mtaa wa pili! ajabu sana hii kwa watanzania............EDO TOA HILO JINA LA DIAMOND WEKA LA ALIKIBA
 
kuna watu wanatoka mapovu kwa sababu ametajwa mtu wa mtaa wa pili! ajabu sana hii kwa watanzania............EDO TOA HILO JINA LA DIAMOND WEKA LA ALIKIBA

Jina lako na akili zako zipo saaaaawiia Edo mnywa chibuku tu
 
Last edited by a moderator:
Nani kasema Wanaija na Watanzania tunabifu?? Hata hao wanao rushiana maneno hawasemi directly ,acheni kukuza mambo
 
Back
Top Bottom