Barbara katibua watu huko unambiwa kapitia mikataba yote ya usajili na mishahara kakuta MADUDU makubwa kuna watu wana share hadi mishahara na wachezaji, ni uchafu mkubwa sana, sasa wale wa teni pasenti kuna washkaji zake na huyu mhaya dauda, vita ni kubwa sana, huyu hatapumzika hadi ahakikishe kazua vurugu simbaAnasema haziuziki kwa kutumia data za kiduka chake? Jezi za simba zinauzwa kwa maduka ya vunjabei moja kwa moja na Sunderland K.koo kama muuzsji mkuu wa jumla...
Hilo la kuishi kwa 10% za mishahara ni mzoefu nalo sana.Hata pale Clouds vijana aliowaingiza pale wanampatia sehemu ya mishahara yao kila mwezi.Huyu huyu Shaffih alizuia mtoto mwenye kipaji kwenda nnje kucheza mpira matokeo yake akampachika yule toto bonge wake ambae hata kukimbia ni shida.Apeleke huko hasira zake Barbra keshaziba mianya yote,yeye aendelee kupiga mayowe huku mitandaoni.Barbara katibua watu huko unambiwa kapitia mikataba yote ya usajili na mishahara kakuta MADUDU makubwa kuna watu wana share hadi mishahara na wachezaji, ni uchafu mkubwa sana, sasa wale wa teni pasenti kuna washkaji zake na huyu mhaya dauda, vita ni kubwa sana, huyu hatapumzika hadi ahakikishe kazua vurugu simba
ulisikia ile story ya ndondo cup mwaka jana fainali, team ya kina ali kiba na ile ya temeke kama sikosei.... sikuamini kama ile millions 20 mtu anataka apewe 10 la sivyo refa atawaminya , kina tegete walikuwa wakishika mpira ni filimbi tu wakafungwa sababu walikataa hilo sharti..nilivyoambiwa sikuamini lakini mmmmhHilo la kuishi kwa 10% za mishahara ni mzoefu nalo sana.Hata pale Clouds vijana aliowaingiza pale wanampatia sehemu ya mishahara yao kila mwezi.Huyu huyu Shaffih alizuia mtoto mwenye kipaji kwenda nnje kucheza mpira matokeo yake akampachika yule toto bonge wake ambae hata kukimbia ni shida.Apeleke huko hasira zake Barbra keshaziba mianya yote,yeye aendelee kupiga mayowe huku mitandaoni.
Mmmmmh hayaYaani nipoteze MB kumsikiliza shafih dauda.. [emoji23]
Lkn uhalisia upoje?Shafii alitamani kwa muda sana apewe nafasi Simba lakini Simba wakamkataa,kwaio sishangai kusikia akiponda mambo ya Simba.
Hivi hii tabia ya watu wa media ndyo wanapewa nafasi katika timu inatokea wapi, ina maana mtaani hakuna watu wenye skills za kupewa job kwa club hizi?Shafii alitamani kwa muda sana apewe nafasi Simba lakini Simba wakamkataa,kwaio sishangai kusikia akiponda mambo ya Simba.
Ni zake hizo hata sishangai kabisk.Katika project yoyote ukiona katia bichwa lake ujue tayari hapo keshawapiga pesa.ulisikia ile story ya ndondo cup mwaka jana fainali, team ya kina ali kiba na ile ya temeke kama sikosei.... sikuamini kama ile millions 20 mtu anataka apewe 10 la sivyo refa atawaminya , kina tegete walikuwa wakishika mpira ni filimbi tu wakafungwa sababu walikataa hilo sharti..nilivyoambiwa sikuamini lakini mmmmh