Msikieni Shaffih Dauda kuhusu mauzo ya jezi za Yanga na Simba

Msikieni Shaffih Dauda kuhusu mauzo ya jezi za Yanga na Simba

Barbara katibua watu huko unambiwa kapitia mikataba yote ya usajili na mishahara kakuta MADUDU makubwa kuna watu wana share hadi mishahara na wachezaji, ni uchafu mkubwa sana, sasa wale wa teni pasenti kuna washkaji zake na huyu mhaya dauda, vita ni kubwa sana, huyu hatapumzika hadi ahakikishe kazua vurugu simba
Duh!..
 
NDYO TUPO BUSY ILA WANA SIMBA TUSISAHAU KUMPIGIA KURA BOULAYE DIA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Sasa wewe kwa jibu hili unakosaje kuwa Mbumbumbu wahed? Ukitaka kujua kundi la uneducated liko wapi jaribu kuul8zia check ya Bil 20 majibu yake ndio utajua
Haswaa
 
Kipimo cha jezi haziuziki ni kiduka cha Shaffih? Umeshaenda Sandaland au kwenye maduka yake Vunjabei ukapewa data ukajiridhisha kuwa mauzo yameshuka?
Weka ushabiki pembeni
 
swala la jezi tulishauza haki, so tumemuachia Fredi ni yeye kuamua afanyaje mzigo utoke. Huko sisi hatupo tushachukua na tunaendea kuchukua chetu.
 
Yuko kwenye biashara ya jezi anajua zaidi lakini one thing kuhusu shaffih dauda, anamchukia sana Barbra na kuna watu kule ndani ya simba baada ya mirija kukatwa wako radhi hata kumpiga uchawi yule bibie awe chizi na shaffih dauda ni mtu wao hilo liko wazi.

Ndiyo maana anapoulizaga simba kuko shwari? anajua anachokisema kabisa, sema safari hii zengwe lake kama lile alilolifanya kwa Ramadhan Singano Messi naona linashindikana.

Tatu ,sitashangaa mauzo kuwa chini sababu mkanganyiko uliojitokeza na watanzania kuwa na mzuka team ikichukua ubingwa, upepo huo uko yanga kwa sasa ila mashabiki wa simba watakuwa hawamtendei haki vunja bei kafanya kazi nzuri sana mwaka huu jezi kali sana
Jezi za Simba zinauzika vizuri sana na vunja bei amekuja na strategic nzuri sana,juzi nilikuwa mwanza vunja bei alikuwa ana gari lake la matangazo aliuza jezi zote zilizokuwepo kwenye gari pamoja na kofia.

Achana na uyo muhaya mjuaji ambae kila kitu anajifanya anajua kwenye mpira!uongozi yeye anajua,biashara ya mpira yeye anajua,biashara ya jezi yeye anajua! Uyo ni mr much know.

Yeye na wahaya wenzake wakina Malinzi,Zamunda, ni aina ya watu mission town, ndio maana unaona hata wizara husika haijawahi kuwa serious nae, anajulikana ni Mr porojo tu, huoni watu serious wakina Ally Mayai wanapewa nafasi ili aweke talanta yake,yeye wanamuacha tu!

Dauda shafii ni aina ya watu dizaini ya Manara wana kelele nyingi ila hawana impact yeyote kwenye mpira wa kisasa.
 
Back
Top Bottom