Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Mkuu, uko tayari kwa matusi? Sasa hivi kila mahali ni Yanga tu, hata hao mikia wenyewe wanakiri hilo. Timu limepooza kama halipo, thread zote humu ni kuhusu ubora wa Yanga kila sekta. Asante mkuu ila subiri yaje yenye midomo michafu.Tofauti na mitazamo watu
View attachment 2376650
"Nikwambie ukweli kabisa kutoka moyoni mwangu jezi za Yanga kweli zinatembea, hasa jezi za njano na nyeusi. Jezi za Simba hazitembei kabisa kama jezi za kijani za Yanga, zinaenda taratibu sana."
"Yanga jezi zao ni bora kuanzia kwenye wazo, muundo na jinsi Yanga walivyo vizuri kwenye kufanya biashara. Hawatengenezi jezi kwaajili ya manufaa yao, wamejipanga mzingo ukipatikana unaenda kwa wakati, super dealer amejipanga vizuri msimu huu."