Msikilize "Chawa" per se wa 2022, CCM vituko!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jionee vituko vya machawa

"Sijapata kuona haki ya Mungu! Awamu ya sita imemwaga mahela mengi ya maendeleo haijapata kutokea tangu nimekuwa senator wa bunge hili, haki ya Mungu! Zimemwagika hela za maendeleo mpaka natizama nasema; mama Mungu akujaalie sana."
 
Attachments

  • VID-20220812-WA0013 (3).mp4
    2.7 MB
Jionee vituko vya machawa
Aibu unaona wewe,ndio hivyo sasa kaeleza ukweli na huo ndio uhalisia..

Kinachokusumbua hapa ni chuki baada ya kuona Rais Samia kavunja mifupa iliyowashinda wengi..

Hata Lukuvi Leo Amesema toka amekuwa Mbunge kwa mara ya kwanza jimboni kwake watapata Maji zaidi bili.81 zimemwagwa haijawahi tokea..

Hali iko hivyo Nchi nzima na kwenye sekta zote..
 
Umri ule ni wa kufanya jiving hivyo? kujikomba kwa watoto wadogo!
 
Anajikomba kwa nani hasa? Jah people ni tajiri ukoo wenu mtakufa na kuzaliwa kamwe hamtakuja kumfikia..

Anaongea from heart hapa ni whether unapenda au hupendi aliyoyaongea ndio ukweli,kwa Samia ni mwendo wa mabilioni tuu.
 
Kumbe ndiyo maana unashambuliwa hapa JF. Nimeona watu wanakusakama kuwa ....... if that is the kind of thinking, then you need to be blocked kupunguza wastage of time and MBs!
 
Kwani wewe ni mgeni na jf? Kwani hujui humu wamejaa Chadomo?

Sasa nisiposhambuliwa atashambuliwa nani? kama wewe ndio utakuwa ndio Mzee Kwa kila kitu na utafuata mkumbo ila sio mimi..

Narudia tena Rais Samia amejua.kuwaweza hamna hoja kwa sasa sijui mtakuwa mnaongea lipi hasa Ili watu wawaelewe..

Ukisema maji yamejaa.,mama ameshatua ndoo,

Ukisema barabara ndio kabisaa wakandarasi wako site kila Kona,

Ukisema elimu hakuna pa kutokea ,ni elimu hadi Veta,

Ukija afya ndio kabisaa sio tuu majengo bali wataalamu na vitendea Kazi,

Ukija kilimo full ruzuku na irrigation,

Na mambo mengine lukuki kama ajira..

Saizi mtakuwa mnajichia kwenye Katiba mpya unfortunately Katiba mpya haileti ugali mezani maana huko Kenya kuna Katiba mpya ila ufisadi umetamalaki na watu kufa na njaa..

Leta hoja basi tukuone.
 
Aibu unaona wewe,ndio hivyo sasa kaeleza ukweli na huo ndio uhalisia..

Kinachokusumbua hapa ni chuki baada ya kuona Rais Samia kavunja mifupa iliyowashinda wengi..

Hata Lukuvi Leo Amesema toka amekuwa Mbunge kwa mara ya kwanza jimboni kwake watapata Maji zaidi bili.81 zimemwagwa haijawahi tokea..

Hali iko hivyo Nchi nzima na kwenye sekta zote..
Wivu unawatesa watu humu JF, ukiwa tofauti nao kimawazo na kimaoni wewe tayari ni chawa.
 
Aibu unaona wewe,ndio hivyo sasa kaeleza ukweli na huo ndio uhalisia..

Kinachokusumbua hapa ni chuki baada ya kuona Rais Samia kavunja mifupa iliyowashinda wengi..

Hata Lukuvi Leo Amesema toka amekuwa Mbunge kwa mara ya kwanza jimboni kwake watapata Maji zaidi bili.81 zimemwagwa haijawahi tokea..

Hali iko hivyo Nchi nzima na kwenye sekta zote..
Hakuna kauli mpya hapo!!hizo zote na zaidi yake kipindi cha jiwe waliyasema, siasa za Afrika bila unafiki haziendi.
 
Back
Top Bottom