Msikilize "Chawa" per se wa 2022, CCM vituko!

Msikilize "Chawa" per se wa 2022, CCM vituko!

Aibu unaona wewe,ndio hivyo sasa kaeleza ukweli na huo ndio uhalisia..

Kinachokusumbua hapa ni chuki baada ya kuona Rais Samia kavunja mifupa iliyowashinda wengi..

Hata Lukuvi Leo Amesema toka amekuwa Mbunge kwa mara ya kwanza jimboni kwake watapata Maji zaidi bili.81 zimemwagwa haijawahi tokea..

Hali iko hivyo Nchi nzima na kwenye sekta zote..
Uhalisia gani wewe,Tofauti yake na wewe ni kwamba huyo ni chawa mzee na wewe ni chawa kijana.Mengine ni mbwembwe tu za kujikomba kwasababu mnalamba asali.
 
Uhalisia gani wewe,Tofauti yake na wewe ni kwamba huyo ni chawa mzee na wewe ni chawa kijana.Mengine ni mbwembwe tu za kujikomba kwasababu mnalamba asali.
Utaishia hivyo hivyo, tukutane 2025 ndio tutajua nani anafanya mbwewe na nani anaongea upumbavu.

By the way mwanasiasa usipojikomba kwa wananchi wapiga kura unataka ajikombe kwa nani?
 
Nchi ngumu Sana hii, mbunge wa makambako huyo, jah people
 
Huu ujinga ndiyo unatuchelewesha kuifikia neema waliyo nayo wakenya. Jiyu lina mwili mkubwa lkn akili ndogo Kama ya uduvi.

wakenya wana neema gani wewe nzi??

jiwe kafariki lakini ulivyo kahaba bado huridhiki na mama yako unatamani vya kenya.
 
Screenshot_20220813-101738_Gallery.jpg
 
Hawa wabunge wakiongea mbele ya Raisi unashindwa kuelewa ni wabunge kweli hawa au ni wapiga debe wa stand!
Ni mwendo wa kupayuka na kupiga makelele bila mpangilio!
 
Back
Top Bottom