Msikilize Florent lbenge Kocha wa AS VITA, akiizungumzia SIMBA

Umetunga lihadithi lako unawapotezea watu muda wa ku comment kwenye ujinga. Hayo maneno aliyasema lini na wapi na kwa nini usiweke link ya sehemu uliyoipatia taarifa yako tuhakiki kama habari ni ya kweli?
 
Iko wapi hiyo audio tumsikilize?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mwalim wa As Vita ajakosea alichosema, Simba bado haiaminiki, wala na mashabiki wake, wala na wachambuzi wa michezo hapa nyumabani, na wengi tulizima radio na TV wakati mchezo ukiendelea,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka video tumuone wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As vita walicheza na vībwengo siku ile haswa kipindi cha pili ndo viliingia uwanjani
 
Too much hype! Mnaboa.
Mikia mtarudi tu mchangani muda si mrefu.
Badala ya kuomba wafanye vizuri nanyi mpate nafasi ya kushiriki mashindano makubwa wewe unaombea washindwe?
 
Badala ya kuomba wafanye vizuri nanyi mpate nafasi ya kushiriki mashindano makubwa wewe unaombea washindwe?
Kwani unafikiri hasidi ana sababu?Yeye huyo hasidi anaposhindwa kwenye mipango yake basi humuhasidi kila alie mbele yake.Hata kama mafanikio ya mwenzake yamtamletea yeye faida japo kidogo.
 
As vita walicheza na vībwengo siku ile haswa kipindi cha pili ndo viliingia uwanjani
Kweli ndio maana kila mkicheza nao mnapaki basi. Bila ya basi ingekuwa balaa. Vipi zile ngonjera za kupuliziwa dawa zime expire?
Sasa mmekuja na vibwengo?
 
Kweli ndio maana kila mkicheza nao mnapaki basi. Bila ya basi ingekuwa balaa. Vipi zile ngonjera za kupuliziwa dawa zime expire?
Sasa mmekuja na vibwengo?
Aisee wewe mbumbumbu mpurura
 
Chura wa Dimbwini akili za kuokoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…